Antsiranana ni mkoa wa zamani wa Madagaska wenye eneo la 43,406 km². Ilikuwa na idadi ya watu 1,188,425. Mji mkuu wake ulikuwa Antsiranana. Aina mbalimbali za makabila zinapatikana katika jimbo hilo, zikiwemo Anjoaty, Sakalava, Antakarana, Tsimihety, Antemoro, Betsimisaraka, Antandroy, n.k.